04/05/2020 /
/Watu walio katika hatari kubwa ya kuwa wagonjwa zaidi kwa maambukizo ya COVID-19, kwa sasa wanaweza kuwasiliana na daktari wao ili wapate chanjo ya bure ya kuzuia nimonia.
Chanjo hii inatolewa kwa vikundi vya watu walio hatarini ili kupunguza hatari ya kuathiriwa na maambukizo mabaya, kwa kuzingatia kwamba watu hawa wako katika hatari ya maambukizi ya COVID-19.
Chanjo inayotolewa kwa vikundi maalum sio chanjo dhidi ya COVID-19. Ni chanjo dhidi ya magonjwa ya bakteria ya nimonia ambayo inaweza kuwa na madhara mbaya na kusababisha hali mbaya zaidi kama vile maambukizi ya damu na mapavu.
Watu wengine wako kwenye hatari kubwa kuliko wengine kwa sababu ya umri wao au kwa sababu wanaugua magonjwa mengine. Kwa hivyo kwa mara ya kwanza, watu ambao wanakaa kwa nyumba ya watu wazee, watu walio na miaka 65 na zaidi na wenye magonjwa sugu, na watu walio chini ya umri 65 walio katika hatari kubwa ya kupata magonjwa na kuwa wagonjwa zaidi ndio watapokea chanjo.
Ili kujua kama uko hatika kikundi hatari na kwa hivo unaweza kupata chanjo ya bure, pata maelezo zaidi hapa:
https://www.sst.dk/da/Viden/Vaccination/
Unaweza kusoma zaidi kuhusu chanjo hapa:
https://www.sst.dk/da
08/06/2020
Kuanzia jumatatu tarehe 8 juni 2020, Denmark itafungua tena sehemu zaidi. Hii itajumuisha: Vitengo za michezo za ndani-(michezo za video), […] Læs mere… Læs mere…
29/05/2020
Muhutasari wa mkutano kwa waandishi wa habari kutoka kwa waziri Mkuu, tarehe 29 mai 2020 Serikali imetoa ushauri wa kutosafari […] Læs mere… Læs mere…
19/05/2020
Sio lazima tena kupata rufaa kutoka kwa daktari wako ili uwe na uwezo wa kupata muda wa kupimwa virusi vya […] Læs mere… Læs mere…
13/05/2020
Muhutasari wa mkutano kwa waandishi wa habari kutoka kwa waziri Mkuu, tarehe 12 mai 2020 Hivi karibuni Denmark imeongeza sana, […] Læs mere… Læs mere…
12/05/2020
Watu binafsi wameanza kushona na kutengeneza barakoa wenyewe nyumbani. Walakini barakoa zinazo shonwa hapo nyumbani zinafanya mtu ajihisi yuko salama, […] Læs mere… Læs mere…
07/05/2020
Muhutasari wa mkutano kwa waandishi wa habari tarehe 7 Mei , kutoka kwa Waziri Mkuu Mette Frederiksen Wananchi wote hapa […] Læs mere… Læs mere…
06/05/2020
Baada ya kufanya kazi na ufafanuzi mpana sana wa vikundi vya watu walio hatarini kwa maambukizi ya COVID-19, Wizara ya […] Læs mere… Læs mere…
23/04/2020
Tuko katika hatua ya kwanza ya kufunga tena jamii yetu na shughuli za kila siku. Hii ni kwa sababu tumepata […] Læs mere… Læs mere…
14/04/2020
Kwa sasa tunaweza kufurahia vile maendeleo ya virusi vya corona inavyo onyesha hapa nchini Denmark. Nambari zinaendelea kuwa zaidi na […] Læs mere… Læs mere…
06/04/2020
Maendeleo ilivyo sasa ni thabiti na nambari zinaendelea sawa: watu 503 wamelazwa hospitalini, watu 139 wamelazwa katika kitengo cha utunzaji […] Læs mere… Læs mere…
Hvert eneste medlemskab og donation styrker Mino Danmarks legitimitet og eksistensberettigelse.
Det gør en forskel og styrker foreningens muligheder for at lykkes med at skabe et lige samfund, uanset etnisk baggrund.
Hvert eneste medlemskab og donation styrker Mino Danmarks legitimitet og eksistensberettigelse.
Det gør en forskel og styrker foreningens muligheder for at lykkes med at skabe et lige samfund, uanset etnisk baggrund.